Ayubu 15:30
Hatatoka gizani; 2 mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, 2 nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, 2 wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi. 1
31Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, 2 kwa kuwa hatapata malipo yoyote. 1
Cross References
Job 5:14Giza huwapata wakati wa mchana; 2 wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 1
Job 15:22Hukata tamaa kuokoka gizani; 2 amewekwa kwa ajili ya upanga. 1
Job 18:18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
Job 22:20‘Hakika adui zetu wameangamizwa, 2 nao moto umeteketeza mali zao.’ 1
Isaiah 11:4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji, 2 kwa haki ataamua wanyenyekevu wa dunia. 1 Ataipiga dunia kwa fimbo ya kinywa chake, 2 kwa pumzi ya midomo yake atawaua waovu. 1
Ezekiel 15:4Nao baada ya kutiwa motoni kama nishati na moto ukateketeza ncha zote mbili na kuunguza sehemu ya kati, je, unafaa kwa lolote?