The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 23 › Ayubu 23:12

Ayubu 23:12

Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; 2 nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Neither have I gone back from the commandment of his lips; I have esteemed the words of his mouth more than my necessary food.

In Context

11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; 2 nimeishika njia yake bila kukengeuka. 1

13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? 2 Yeye hufanya lolote atakalo. 1

Read all of Ayubu 23

Cross References

Job 6:10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, 2 furaha yangu katika maumivu makali: 2 kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu. 1

Job 33:9‘Mimi ni safi na sina dhambi; 2 mimi ni safi na sina hatia. 1

Psalms 119:11Nimelificha neno lako moyoni mwangu 2 ili nisikutende dhambi. 1

Psalms 119:127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu, 2 naam, zaidi ya dhahabu safi, 1

Luke 12:42Yesu akamjibu, “Ni yupi basi wakili mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamfanya msimamizi juu ya watumishi wake wote, ili awape watumishi wengine chakula chao wakati unaofaa?

John 4:32Lakini yeye akawajibu, “Mimi ninacho chakula ambacho ninyi hamkifahamu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 23:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 23:11Ayubu 23Ayubu 23:13 →