Ayubu 33:9
‘Mimi ni safi na sina dhambi; 2 mimi ni safi na sina hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I am clean without transgression, I am innocent; neither is there iniquity in me.
In Context
8“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, 2 nami nilisikia maneno yenyewe: 1
10Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu, 2 naye ananiona kama adui yake. 1
Cross References
Job 9:21“Ingawa mimi sina kosa, 2 haileti tofauti katika nafsi yangu; 2 nauchukia uhai wangu. 1
Job 9:28bado ninahofia mateso yangu yote, 2 kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 1
Job 11:4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili 2 nami ni safi mbele zako.’ 1
Job 13:23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? 2 Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 1
Job 17:8Watu wanyofu wanatishwa na hili; 2 watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu. 1
Job 23:10Lakini anaijua njia niiendeayo; 2 akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 1