Job 23:2
“Hata leo malalamiko yangu ni chungu; 2 mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even to day is my complaint bitter: my stroke is heavier than my groaning.
In Context
3Laiti ningefahamu mahali pa kumwona; 2 laiti ningeweza kwenda mahali akaapo! 1
Cross References
Job 7:11“Kwa hiyo sitanyamaza; 2 nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, 2 nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 1
Job 11:6naye akufunulie siri za hekima, 2 kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. 2 Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 1
Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1
Lamentations 3:28Na akae peke yake awe kimya, 2 kwa maana Bwana ameiweka juu yake. 1