Ayubu 11:6
naye akufunulie siri za hekima, 2 kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. 2 Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Aha! Laiti kwamba Mungu angesema, 2 kwamba angefungua midomo yake dhidi yako, 1
7“Je, waweza kujua siri za Mungu? 2 Je, waweza kuyachunguza mambo yote kumhusu Mwenyezi? 1
Cross References
Deuteronomy 29:29Mambo ya siri ni ya Bwana Mungu wetu, bali yaliyofunuliwa ni yetu na watoto wetu milele, ili tuweze kuyafanya maneno yote ya sheria hii.
Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Job 15:8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? 2 Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 1
Job 28:28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, 2 ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, 2 nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”
Psalms 25:14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Psalms 106:43Mara nyingi aliwaokoa 2 lakini walikuwa wamezama kwenye uasi, 2 nao wakajiharibu katika dhambi zao. 1