The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 24 › Ayubu 24:1

Ayubu 24:1

“Kwa nini Mwenyezi asiweke nyakati kwa ajili ya hukumu? 2 Kwa nini wale wamjuao wazitafute siku kama hizo bila mafanikio? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Why, seeing times are not hidden from the Almighty, do they that know him not see his days?

In Context

2Watu husogeza mawe ya mpaka; 2 huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 1

Read all of Ayubu 24

Cross References

Genesis 7:4Siku saba kuanzia sasa nitaleta mvua juu ya nchi kwa siku arobaini usiku na mchana, nami nitafutilia mbali kutoka uso wa nchi kila kiumbe hai nilichokiumba.”

Genesis 18:20Basi Bwana akasema, “Kilio dhidi ya Sodoma na Gomora ni kikubwa sana na dhambi yao inasikitisha sana,

Psalms 31:15Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, 2 uniokoe mikononi mwa adui zangu 2 na wale wanifuatiao. 1

Psalms 73:16Nilipojaribu kuelewa haya yote, 2 yalikuwa magumu kwangu kuelewa. 1

Ecclesiastes 8:6Kwa maana kuna wakati muafaka 2 na utaratibu wa kila jambo, 1 ingawa huzuni ya mwanadamu 2 huwa nzito juu yake. 1

Isaiah 2:12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba 2 kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, 2 kwa wote wanaojikweza 2 (nao watanyenyekezwa), 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 24:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Ayubu 24Ayubu 24:2 →