Mhubiri 8:6
Kwa maana kuna wakati muafaka 2 na utaratibu wa kila jambo, 1 ingawa huzuni ya mwanadamu 2 huwa nzito juu yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because to every purpose there is time and judgment, therefore the misery of man is great upon him.
In Context
7Kwa vile hakuna mtu ajuaye siku zijazo, 2 ni nani awezaye kumwambia linalokuja? 1
Cross References
Job 10:13“Lakini hili ndilo ulilolificha moyoni mwako, 2 nami ninajua kuwa hili lilikuwa katika nia yako: 1
Job 33:19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, 2 kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 1
Ecclesiastes 3:11Amefanya kila kitu kiwe kizuri kwa wakati wake. Pia ameiweka hiyo milele katika mioyo ya wanadamu, wala hawawezi kutambua kwa kina yale ambayo Mungu amefanya tangu mwanzo hadi mwisho.
Ecclesiastes 7:13Tafakari kile Mungu alichokitenda: 1 Nani awezaye kunyoosha 2 kile ambacho yeye amekipinda? 1
Isaiah 3:11Ole kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao! 2 Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda. 1
Luke 13:25Wakati mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkibisha mlango na kusema, ‘Bwana! Tufungulie mlango!’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako.’