Ayubu 24:11
Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia; 2 hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which make oil within their walls, and tread their winepresses, and suffer thirst.
In Context
10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi; 2 hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 1
Cross References
Jeremiah 22:13“Ole wake yeye ajengaye jumba lake la kifalme kwa njia ya dhuluma, 2 vyumba vyake vya juu kwa udhalimu, 1 akiwatumikisha watu wa nchi yake pasipo malipo, 2 bila kuwalipa kwa utumishi wao. 1