Ayubu 24:14
Wakati mwanga wa mchana unapotoweka, muuaji huinuka 2 naye huwaua maskini na mhitaji; 2 wakati wa usiku hunyemelea kama mwizi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The murderer rising with the light killeth the poor and needy, and in the night is as a thief.
In Context
13“Wako wale wanaoiasi nuru, 2 wasiofahamu njia zake 2 wala hawakai katika mapito yake. 1
Cross References
Psalms 10:8Huvizia karibu na vijiji; 2 kutoka mafichoni huwanasa wasio na hatia, 2 akivizia wapitaji. 1
Luke 12:39Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
1 Thessalonians 5:2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.