Job 24:13
“Wako wale wanaoiasi nuru, 2 wasiofahamu njia zake 2 wala hawakai katika mapito yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 3:20Hivyo akaondoka katikati ya usiku na kumchukua mwanangu kutoka ubavuni pangu wakati mimi mtumishi wako nilipokuwa nimelala. Akamweka kifuani mwake na kumweka mwanawe aliyekufa kifuani mwangu.
Job 24:16Katika giza, huvunja majumba, 2 lakini wakati wa mchana hujifungia ndani; 2 hawataki kufanya lolote nuruni. 1
Job 38:15Waovu huzuiliwa nuru yao, 2 nao mkono wao ulioinuliwa huvunjwa. 1
Luke 12:47“Yule mtumishi anayefahamu vyema mapenzi ya bwana wake na asijiandae wala kufanya kama apendavyo bwana wake, atapigwa kwa mapigo mengi.
John 8:31Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
John 9:39Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”