Ayubu 24:9
Mtoto yatima hupokonywa matitini; 2 mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They pluck the fatherless from the breast, and take a pledge of the poor.
In Context
8Hutota kwa mvua za mlimani, 2 nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. 1
10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi; 2 hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 1
Cross References
2 Kings 4:1Mke wa mmoja wa wana wa manabii akamlilia Elisha, akamwambia, “Mtumishi wako, mume wangu, amekufa, nawe unajua alikuwa anamcha Bwana. Lakini sasa yule anayemdai anakuja kuchukua wanangu wawili kama watumwa wake.”
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1