The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 22 › Ayubu 22:6

Ayubu 22:6

Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For thou hast taken a pledge from thy brother for nought, and stripped the naked of their clothing.

In Context

5Je, uovu wako si mkuu? 2 Dhambi zako si hazina mwisho? 1

7Hukumpa maji aliyechoka, 2 nawe ulimnyima chakula mwenye njaa, 1

Read all of Ayubu 22

Cross References

Exodus 22:26Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,

Deuteronomy 24:10Unapomkopesha jirani yako chochote, usiingie nyumbani kwake kutwaa kile anachokitoa kama rehani.

Job 24:3Huwanyangʼanya yatima punda wao, 2 na kumchukua rehani fahali wa mjane. 1

Job 29:12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, 2 naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 1

Job 31:20ambaye wala moyo wake haukunibariki 2 kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu, 1

Ezekiel 18:12Huwaonea maskini na wahitaji. 1 Hunyangʼanyana. 1 Harudishi kile kilichowekwa rehani kwake. 1 Huziinulia sanamu macho. 1 Hufanya mambo ya machukizo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 22:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 22:5Ayubu 22Ayubu 22:7 →