Ayubu 25:6
sembuse mtu ambaye ni funza: 2 mwanadamu ambaye ni buu tu!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How much less man, that is a worm? and the son of man, which is a worm?
In Context
5Ikiwa hata mwezi sio mwangavu 2 nazo nyota si safi machoni pake, 1
Cross References
Genesis 18:27Kisha Abrahamu akasema tena: “Sasa kwa kuwa nimekuwa na ujasiri wa kuzungumza na Bwana, ingawa mimi si kitu bali ni mavumbi na majivu;
Job 7:17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki, 2 kwamba unamtia sana maanani, 1
Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1