Genesis 18:27
Kisha Abrahamu akasema tena: “Sasa kwa kuwa nimekuwa na ujasiri wa kuzungumza na Bwana, ingawa mimi si kitu bali ni mavumbi na majivu;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:19Kwa jasho la uso wako 2 utakula chakula chako 1 hadi utakaporudi ardhini, 2 kwa kuwa ulitwaliwa kutoka humo, 1 kwa kuwa wewe u mavumbi 2 na mavumbini wewe utarudi.”
Exodus 32:11Lakini Mose akamsihi Bwana Mungu wake, akasema, “Ee Bwana, kwa nini hasira yako iwake dhidi ya watu wako, wale uliowatoa Misri kwa uweza mkuu na mkono wenye nguvu?
Job 4:19ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba 2 za udongo wa mfinyanzi, 1 ambazo misingi yake ipo mavumbini, 2 ambao wamepondwa kama nondo! 1
Job 42:6Kwa hiyo najidharau mwenyewe, 2 na kutubu katika mavumbi na majivu.” 1 Mwisho: Marafiki Wa Ayubu Wanafedheheshwa
Psalms 144:3Ee Bwana, mwanadamu ni nini hata umjali, 2 Binadamu ni nini hata umfikirie? 1
Isaiah 6:5Ndipo nikalia, “Ole wangu! Nimeangamia! Kwa kuwa mimi ni mtu mwenye midomo michafu, nami ninaishi katikati ya watu wenye midomo michafu, nayo macho yangu yamemwona Mfalme, Bwana Mwenye Nguvu Zote.”