Ayubu 27:17
yale yote mtu mwovu aliyojiwekea akiba, mwenye haki atayavaa, 2 naye asiye na hatia ataigawanya fedha yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He may prepare it, but the just shall put it on, and the innocent shall divide the silver.
In Context
16Ajapokusanya fedha nyingi kama mavumbi, 2 na mavazi kama malundo ya udongo wa mfinyanzi, 1
18Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, 2 kama kibanda alichotengeneza mlinzi. 1
Cross References
Esther 8:1Siku ile ile Mfalme Ahasuero akampa Malkia Esta shamba la Hamani, adui wa Wayahudi. Naye Mordekai akaja mbele ya mfalme, kwa kuwa Esta alikuwa amesema jinsi anavyohusiana naye.
Proverbs 28:8Yeye aongezaye utajiri wake kwa riba kubwa mno 2 hukusanya kwa ajili ya mwingine, 2 ambaye atawahurumia maskini. 1