Ayubu 27:18
Nyumba aijengayo ni kama utando wa buibui, 2 kama kibanda alichotengeneza mlinzi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He buildeth his house as a moth, and as a booth that the keeper maketh.
In Context
19Yeye hulala akiwa tajiri, lakini ndiyo mara ya mwisho; 2 afunguapo macho yake, yote yametoweka. 1
Cross References
Job 8:14Lile analolitumainia huvunjika upesi; 2 lile analolitegemea ni utando wa buibui. 1
Isaiah 38:12Kama hema la mchunga mifugo, 2 nyumba yangu imebomolewa na kutwaliwa kutoka kwangu. 1 Kama mfumaji nimevingirisha maisha yangu, 2 naye amenikatilia mbali kutoka kitanda cha mfumi. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1
Lamentations 2:6Ameharibu maskani yake kama bustani, 2 ameharibu mahali pake pa mkutano. 1 Bwana amemfanya Sayuni kusahau 2 sikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake; 1 katika hasira yake kali amewadharau 2 mfalme na kuhani. 1