Ayubu 27:8
Kwa maana mtu asiyemcha Mungu 2 analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, 2 Mungu anapouondoa uhai wake? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For what is the hope of the hypocrite, though he hath gained, when God taketh away his soul?
In Context
7“Watesi wangu wawe kama waovu, 2 nao adui zangu wawe kama wasio haki! 1
9Je, Mungu husikiliza kilio chake, 2 shida zimjiapo? 1
Cross References
Job 8:13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; 2 vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 1
Job 13:16Naam, hili litanigeukia kuwa wokovu wangu, 2 kwa maana hakuna mtu asiyemcha Mungu 2 atakayethubutu kuja mbele yake! 1
Job 20:5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1
Isaiah 33:14Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu, 2 kutetemeka kumewakumba wasiomcha Mungu: 1 “Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto ulao? 2 Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto unaowaka milele?” 1
Matthew 23:13“Lakini ole wenu, walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Kwa maana mnawafungia watu milango ya Ufalme wa Mbinguni. Ninyi wenyewe hamuingii humo, nao wale wanaotaka kuingia mnawazuia. [
Luke 9:25Je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akapoteza au kuangamiza nafsi yake?