Ayubu 28:22
Uharibifu na Mauti husema, 2 ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Destruction and death say, We have heard the fame thereof with our ears.
In Context
21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, 2 imesitiriwa hata kwa ndege wa angani. 1
23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima 2 na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa, 1
Cross References
Job 28:14Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; 2 bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 1