Ayubu 28:14
Kilindi husema, ‘Haiko ndani yangu’; 2 bahari nayo husema, ‘Haiko pamoja nami.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The depth saith, It is not in me: and the sea saith, It is not with me.
In Context
13Mwanadamu hatambui thamani yake; 2 haiwezi kupatikana katika nchi ya walio hai. 1
15Haiwezi kununuliwa kwa dhahabu safi kuliko zote, 2 wala thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha. 1
Cross References
Romans 11:33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1