Ayubu 28:9
Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana, 2 na kuiacha wazi mizizi ya milima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He putteth forth his hand upon the rock; he overturneth the mountains by the roots.
In Context
8Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, 2 wala simba azungukaye huko. 1
10Hutoboa shimo refu la kupenya chini kwa chini kwenye miamba; 2 macho yake huona hazina zake zote. 1