Ayubu 28:8
Wanyama wa porini wanaotamba hawajawahi kupakanyaga, 2 wala simba azungukaye huko. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The lion’s whelps have not trodden it, nor the fierce lion passed by it.
In Context
7Hakuna ndege awindaye aijuaye njia ile iliyofichika, 2 wala hakuna jicho la mwewe lililoiona. 1
9Mikono ya mwanadamu hushambulia miamba migumu sana, 2 na kuiacha wazi mizizi ya milima. 1
Cross References
Proverbs 2:7Anahifadhi ushindi kwa ajili ya mwadilifu, 2 yeye ni ngao kwa wale wasio na lawama, 1