Ayubu 29:10
wenye vyeo wakanyamazishwa, 2 nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The nobles held their peace, and their tongue cleaved to the roof of their mouth.
In Context
9wakuu wakaacha kuzungumza 2 na kuziba vinywa vyao kwa mikono yao; 1
11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, 2 nao walioniona walinisifu, 1
Cross References
Ezekiel 3:26Nitaufanya ulimi wako ushikamane kwenye kaa la kinywa chako, ili uwe kimya usiweze kuwakemea, wajapokuwa ni nyumba ya kuasi.