Ayubu 29:11
Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, 2 nao walioniona walinisifu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When the ear heard me, then it blessed me; and when the eye saw me, it gave witness to me:
In Context
10wenye vyeo wakanyamazishwa, 2 nazo ndimi zao zikagandamana na makaakaa ya vinywa vyao. 1
12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, 2 naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 1
Cross References
Proverbs 29:2Wenye haki wanapostawi, watu hufurahi; 2 waovu watawalapo, watu hulia kwa huzuni. 1
Luke 4:22Wote waliokuwako wakamsifu na kuyastaajabia maneno yake yaliyojaa neema, wakaulizana, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?”