Ayubu 29:4
Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, 2 wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As I was in the days of my youth, when the secret of God was upon my tabernacle;
In Context
5wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, 2 nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka, 1
Cross References
Job 1:10Je, wewe hukumjengea boma pande zote yeye na wa nyumbani mwake pamoja na kila kitu alicho nacho? Kazi za mikono yake umezibariki na hivyo makundi yake ya kondoo na mbuzi pamoja na ya wanyama yameenea katika nchi nzima.
Psalms 25:14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Psalms 91:1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana, 2 atadumu katika uvuli wake Mwenyezi. + 91:1 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Colossians 3:3Kwa maana ninyi mlikufa, nao uhai wenu sasa umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.