The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 29 › Ayubu 29:3

Ayubu 29:3

wakati taa yake iliniangazia kichwani changu, 2 na kwa mwanga wake Mungu nikapita katikati ya giza! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When his candle shined upon my head, and when by his light I walked through darkness;

In Context

2“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita, 2 zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda, 1

4Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, 2 wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu, 1

Read all of Ayubu 29

Cross References

Job 18:6Mwanga hemani mwake umekuwa giza; 2 taa iliyo karibu naye imezimika. 1

Job 22:28Utakusudia jambo nalo litatendeka, 2 nao mwanga utaangazia njia zako. 1

Psalms 18:28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; 2 Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 1

Psalms 23:4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1

Psalms 84:11Kwa kuwa Bwana ni jua na ngao, 2 Bwana hutoa wema na heshima; 1 hakuna kitu chema anachowanyima 2 wale ambao hawana hatia. 1

Proverbs 13:9Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, 2 bali taa ya mwovu itazimwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 29:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 29:2Ayubu 29Ayubu 29:4 →