Ayubu 29:6
wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, 2 nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When I washed my steps with butter, and the rock poured me out rivers of oil;
In Context
5wakati Mwenyezi alikuwa pamoja nami, 2 nao watoto wangu walikuwa wamenizunguka, 1
7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji 2 na kuketi katika kiwanja, 1
Cross References
Genesis 49:11Atamfunga punda wake katika mzabibu, 2 naye mwana-punda wake kwenye tawi lililo bora zaidi; 1 atafua mavazi yake katika divai, 2 majoho yake katika damu ya mizabibu. 1
Deuteronomy 33:24Kuhusu Asheri akasema: 1 “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; 2 yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, 2 yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta. 1
Psalms 81:16Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, 2 na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”