Kumbukumbu 33:24
Kuhusu Asheri akasema: 1 “Aliyebarikiwa zaidi sana katika wana ni Asheri; 2 yeye na apate upendeleo kwa ndugu zake, 2 yeye na anawe miguu yake kwenye mafuta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Makomeo ya malango yako yawe chuma na shaba, 2 nazo nguvu zako zitakuwa sawa na siku zako. 1
Cross References
Genesis 49:20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, 2 naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 1
Joshua 19:31Miji hii pamoja na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa kabila la Asheri, ukoo kwa ukoo. 1 Mgawo Kwa Naftali
Psalms 115:15Mbarikiwe na Bwana 2 Muumba wa mbingu na dunia. 1
Psalms 128:6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. 1 Amani iwe juu ya Israeli.
Acts 7:10Akamwokoa kutoka mateso yote yaliyompata, tena akampa kibali na hekima aliposimama mbele ya Farao, mfalme wa Misri, ambaye alimweka kuwa mtawala juu ya Misri na juu ya jumba lote la kifalme.
Romans 15:31Ombeni ili nipate kuokolewa mikononi mwa wale wasioamini walioko Uyahudi, na kwamba utumishi wangu upate kukubaliwa na watakatifu wa huko Yerusalemu,