Job 30:2
Nguvu za mikono yao zingekuwa na faida gani kwangu, 2 kwa kuwa nguvu zao zilikuwa zimewaishia? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, whereto might the strength of their hands profit me, in whom old age was perished?
In Context
Cross References
Ecclesiastes 12:1Mkumbuke Muumba wako 2 siku za ujana wako, 1 kabla hazijaja siku za taabu, 2 wala haijakaribia miaka utakaposema, 2 “Mimi sifurahii hiyo”: 1