Ayubu 30:3
Wakiwa wamekonda kutokana na kupungukiwa na kwa njaa, 2 walizurura usiku katika nchi kame iliyo ukiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Nguvu za mikono yao zingekuwa na faida gani kwangu, 2 kwa kuwa nguvu zao zilikuwa zimewaishia? 1
4Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, 2 nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. 1
Cross References
Job 24:13“Wako wale wanaoiasi nuru, 2 wasiofahamu njia zake 2 wala hawakai katika mapito yake. 1