Ayubu 30:24
“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji, 2 anapoomba msaada katika shida yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Howbeit he will not stretch out his hand to the grave, though they cry in his destruction.
In Context
23Ninajua utanileta mpaka kifoni, 2 mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 1
Cross References
Judges 5:31“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! 2 Bali wote wakupendao na wawe kama jua 2 lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.
Psalms 35:25Usiwaache wafikiri, “Aha, hili ndilo tulilotaka!” 2 Au waseme, “Tumemmeza.” 1