The Bible Software
bible.software › Waamuzi › Waamuzi 5 › Waamuzi 5:31

Waamuzi 5:31

“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana! 2 Bali wote wakupendao na wawe kama jua 2 lichomozavyo kwa nguvu zake.” Hivyo nchi ikawa na amani kwa miaka arobaini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So let all thine enemies perish, O LORD: but let them that love him be as the sun when he goeth forth in his might. And the land had rest forty years.

In Context

30‘Je, hawapati na kugawanya nyara: 2 msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, 2 mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, 2 mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, 2 mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: 1 yote haya yakiwa nyara?’ 1

Read all of Waamuzi 5

Cross References

Exodus 20:6lakini ninaonyesha upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanipendao na kuzishika amri zangu. 1

Deuteronomy 7:9Basi ujue kwamba Bwana Mungu wako ndiye Mungu; ni Mungu mwaminifu, anayetunza Agano la upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaompenda na kuzishika amri zake.

Judges 3:30Siku ile Moabu wakashindwa na Israeli, nayo nchi ikawa na amani kwa miaka themanini. 1 Shamgari

2 Samuel 23:4yeye ni kama mwanga wa asubuhi jua lichomozapo 2 asubuhi isiyo na mawingu, 1 kama mwanga baada ya mvua 2 uchipuzao majani kutoka ardhini.’ 1

Psalms 19:6Huchomoza upande mmoja wa mbingu, 2 na kufanya mzunguko wake 2 hadi upande mwingine. 2 Hakuna kilichojificha joto lake. 1

Psalms 37:6Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko, 2 na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Waamuzi 5:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Waamuzi 5:30Waamuzi 5