Ayubu 12:4
“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu, 2 ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu: 1 mimi ni mtu wa kuchekwa tu, 2 ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; 2 mimi si duni kwenu. 2 Ni nani asiyejua mambo haya yote? 1
Cross References
Job 11:3Je, maneno yako ya upuzi yawafanye watu wanyamaze kimya? 2 Je, mtu asikukemee unapofanya dhihaka? 1
Job 16:20Mwombezi wangu ni rafiki yangu 2 macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu; 1
Job 17:6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, 2 mtu ambaye watu humtemea mate usoni. 1
Job 30:1“Lakini sasa watu wadogo kwa umri kuniliko wananidhihaki, 1 watu ambao baba zao ningekataa kwa dharau 2 kuwaweka pamoja na mbwa wangu wa kulinda kondoo. 1
Psalms 35:16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, 2 wamenisagia meno. 1
Proverbs 14:2Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha Bwana, 2 bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu. 1