Ayubu 31:1
“Nimefanya agano na macho yangu 2 yasimtazame msichana kwa kumtamani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I made a covenant with mine eyes; why then should I think upon a maid?
In Context
Cross References
Genesis 6:2wana wa Mungu wakawaona kuwa hao binti za wanadamu walikuwa wazuri wa sura, wakaoa yeyote miongoni mwao waliyemchagua.
Psalms 119:37Geuza macho yangu kutoka kwenye mambo yasiyofaa, 2 uyahifadhi maisha yangu sawasawa na neno lako. 1
Proverbs 6:25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1
Matthew 5:28Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
1 John 2:16Kwa maana kila kitu kilichomo ulimwenguni, yaani tamaa ya mwili, tamaa ya macho na kiburi cha uzima, havitokani na Baba bali hutokana na ulimwengu.