Ayubu 31:2
Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, 1 urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For what portion of God is there from above? and what inheritance of the Almighty from on high?
In Context
1“Nimefanya agano na macho yangu 2 yasimtazame msichana kwa kumtamani. 1
3Je, si uharibifu kwa watu waovu, 2 maangamizi kwa wale watendao mabaya? 1
Cross References
Job 27:13“Hili ndilo fungu ambalo Mungu humpa mtu mwovu, 2 urithi ule mtu mdhalimu anapokea kutoka kwa Mwenyezi: 1