Ayubu 31:17
kama nimekula chakula changu mwenyewe, 2 bila kuwashirikisha yatima; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or have eaten my morsel myself alone, and the fatherless hath not eaten thereof;
In Context
16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, 2 au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 1
Cross References
Deuteronomy 15:14Mpe kwa uhuru kutoka zizi lako la kondoo na mbuzi, kutoka sakafu yako ya kupuria nafaka na kutoka mashinikizo yako ya kukamulia divai. Mpe kama vile ambavyo Bwana Mungu wako alivyokubariki.
Esther 2:7Mordekai alikuwa na binamu yake msichana aliyeitwa Hadasa, ambaye alimlea kwa kuwa hakuwa na baba wala mama. Msichana huyu, ambaye pia alijulikana kwa jina la Esta, alikuwa na umbo na sura ya kupendeza, naye Mordekai alimtunza kama binti yake mwenyewe baada ya baba yake na mama yake kufariki.
Job 29:12kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, 2 naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 1
Ezekiel 18:16Hakumwonea mtu yeyote 2 wala hakutaka rehani kwa ajili ya mkopo. 1 Hanyangʼanyi, 2 bali huwapa wenye njaa chakula chake 2 na huwapa nguo walio uchi. 1
John 13:29Kwa kuwa Yuda alikuwa mtunza fedha, wengine walifikiri Yesu alikuwa amemwambia akanunue vitu vilivyohitajika kwa ajili ya Sikukuu, au kuwapa maskini chochote.
Romans 12:13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.