Ayubu 29:12
kwa sababu nilimwokoa maskini aliyeomba msaada, 2 naye yatima aliyekuwa hana wa kumsaidia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because I delivered the poor that cried, and the fatherless, and him that had none to help him.
In Context
11Yeyote aliyenisikia alinena mema juu yangu, 2 nao walioniona walinisifu, 1
13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, 2 nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 1
Cross References
Exodus 22:22“Usimdhulumu mjane wala yatima.
Nehemiah 5:2Baadhi yao walikuwa wakisema, “Sisi na wana wetu na binti zetu tuko wengi. Ili tuweze kula na kuishi, ni lazima tupate nafaka.”
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1
Job 24:4Humsukuma mhitaji kutoka njia, 2 na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 1
Job 31:17kama nimekula chakula changu mwenyewe, 2 bila kuwashirikisha yatima; 1
Job 31:21na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, 2 nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani, 1