Ayubu 31:20
ambaye wala moyo wake haukunibariki 2 kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If his loins have not blessed me, and if he were not warmed with the fleece of my sheep;
In Context
19kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo, 2 au mtu mhitaji asiye na mavazi 1
21na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, 2 nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani, 1
Cross References
Job 22:6Umedai dhamana kwa ndugu zako bila sababu; 2 umewavua watu nguo zao, ukawaacha uchi. 1
Job 29:13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, 2 nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 1
Zechariah 7:9“Hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Fanyeni hukumu za haki, onyesheni rehema na huruma ninyi kwa ninyi.