Ayubu 31:32
Lakini hakuna mgeni aliyelala njiani, 2 kwa maana mlango wangu ulikuwa wazi kwa msafiri; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The stranger did not lodge in the street: but I opened my doors to the traveller.
In Context
31kama watu wa nyumbani mwangu kamwe hawakusema, 2 ‘Ni nani ambaye hajashibishwa na nyama ya Ayubu?’ 1
Cross References
Judges 19:15Wakageuka ili kuingia na kulala Gibea. Wakaingia humo, wakaketi kwenye uwanja wa mji, wala hakuna mtu yeyote aliyewakaribisha kwake ili wapate kulala.
Job 29:16Nilikuwa baba kwa mhitaji; 2 nilimtetea mgeni. 1
Isaiah 58:7Je, sio kushirikiana chakula chako na wenye njaa 2 na kuwapatia maskini wasiokuwa na makao hifadhi, 1 unapomwona aliye uchi, umvike, 2 wala si kumkimbia mtu wa nyama na damu yako mwenyewe? 1
Matthew 25:40“Naye Mfalme atawajibu, ‘Amin nawaambia, kwa jinsi mlivyomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.’
Romans 12:13Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.
Hebrews 13:2Msisahau kuwakaribisha wageni, kwa kuwa kwa kufanya hivyo, watu wengine waliwakaribisha malaika pasipo kujua.