Ayubu 29:16
Nilikuwa baba kwa mhitaji; 2 nilimtetea mgeni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I was a father to the poor: and the cause which I knew not I searched out.
In Context
15Nilikuwa macho ya kipofu 2 na miguu kwa kiwete. 1
17Niliyavunja meno makali ya waovu, 2 na kuwapokonya wahanga kwenye meno yao. 1
Cross References
Exodus 18:26Wakatumika kama waamuzi wa watu kwa wakati wote. Mashauri magumu wakayaleta kwa Mose, lakini yale yaliyo rahisi wakayaamua wenyewe.
Deuteronomy 17:8Kama mashauri yanaletwa katika mahakama zenu ambayo ni magumu zaidi kwenu kuyaamua, ikiwa ni umwagaji wa damu, madai au mashambulio, yapelekeni mahali ambapo Bwana Mungu wenu atapachagua.
1 Kings 3:16Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake.
Job 24:4Humsukuma mhitaji kutoka njia, 2 na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 1
Job 31:18lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya, 2 nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane: 1
Job 31:32Lakini hakuna mgeni aliyelala njiani, 2 kwa maana mlango wangu ulikuwa wazi kwa msafiri; 1