Ayubu 32:10
“Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni mimi; 2 mimi nami nitawaambia lile ninalojua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore I said, Hearken to me; I also will shew mine opinion.
In Context
9Sio wazee peke yao walio na hekima, 2 sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa. 1
11Nilingojea mlipokuwa mnaongea, 2 nilizisikiliza hoja zenu; 1 mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema, 2
Cross References
1 Corinthians 7:40Lakini kwa maoni yangu, angekuwa na furaha zaidi akibaki alivyo. Nami nadhani pia nina Roho wa Mungu.