The Bible Software
bible.softwareJobJob 32 › Job 32:9

Job 32:9

Sio wazee peke yao walio na hekima, 2 sio wenye umri mkubwa peke yao wanaofahamu lililo sawa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Great men are not always wise: neither do the aged understand judgment.

In Context

8Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu, 2 pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu. 1

10“Kwa hiyo nasema: Nisikilizeni mimi; 2 mimi nami nitawaambia lile ninalojua. 1

Read all of Job 32

Cross References

Job 4:21Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa, 2 hivyo hufa bila hekima?’

Psalms 119:100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee, 2 kwa kuwa ninayatii mausia yako. 1

Ecclesiastes 4:13Afadhali kijana maskini mwenye hekima kuliko mfalme mzee mpumbavu ambaye hajui tena kupokea maonyo.

Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.

1 Corinthians 1:26Ndugu zangu, kumbukeni mlivyokuwa mlipoitwa. Kwa kipimo cha kibinadamu, si wengi wenu mliokuwa na hekima. Si wengi mliokuwa na ushawishi, si wengi mliozaliwa katika jamaa zenye vyeo.

James 2:6Lakini ninyi mmemdharau yule aliye maskini. Je, hao matajiri si ndio wanaowadhulumu na kuwaburuta mahakamani?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 32:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 32:8Job 32Job 32:10 →