Ayubu 32:18
Kwa kuwa nimejawa na maneno, 2 nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I am full of matter, the spirit within me constraineth me.
In Context
17Mimi nami nitakuwa na la kusema; 2 mimi nami nitasema lile nilijualo. 1
Cross References
Psalms 39:3Moyo wangu ulipata moto ndani yangu, 2 nilipotafakari, moto uliwaka, 2 ndipo nikasema kwa ulimi wangu: 1
Ezekiel 3:14Ndipo Roho aliponiinua na kunipeleka mbali. Nikaenda nikiwa na uchungu na hasira moyoni mwangu, nao mkono wa Bwana ukiwa juu yangu.
2 Corinthians 5:13Kama tumerukwa na akili, ni kwa ajili ya Mungu; kama tuna akili timamu, ni kwa ajili yenu.