Ayubu 32:19
ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, 2 kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, my belly is as wine which hath no vent; it is ready to burst like new bottles.
In Context
18Kwa kuwa nimejawa na maneno, 2 nayo Roho iliyomo ndani yangu yanisukuma; 1
20Ni lazima niseme ili niweze kutulia; 2 ni lazima nifumbue midomo yangu nipate kujibu. 1
Cross References
Amos 3:8Simba amenguruma: 2 je, ni nani ambaye hataogopa? 1 Bwana Mwenyezi ametamka: 2 je, ni nani awezaye kukosa kutoa unabii? 1