Job 32:2
Lakini Elihu mwana wa Barakeli, wa kabila la Buzi wa jamaa ya Ramu, akamkasirikia sana Ayubu, kwa sababu ya kujihesabia haki mwenyewe badala ya Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Basi watu hawa watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa kuwa alikuwa mwadilifu machoni pake mwenyewe.
Cross References
Genesis 22:21Usi mzaliwa wake wa kwanza, Buzi nduguye, Kemueli (baba wa Aramu),
Job 15:5Dhambi yako inasukuma kinywa chako, 2 nawe umechagua ulimi wa hila. 1
Job 27:2“Hakika kama Mungu aishivyo, aliyeninyima haki yangu, 2 Mwenyezi ambaye amenifanya 2 nionje uchungu wa nafsi, 1
Job 30:21Wewe unanigeukia bila huruma; 2 unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 1
Job 34:5“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1
Job 35:2“Je, unadhani hili ni haki? 2 Wewe unasema, ‘Nina haki mbele za Mungu.’ 1