Ayubu 34:5
“Ayubu anasema, ‘Mimi sina hatia, 2 lakini Mungu ameninyima haki yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For Job hath said, I am righteous: and God hath taken away my judgment.
In Context
4Tujichagulie wenyewe yaliyo sawa, 2 nasi tujifunze pamoja yaliyo mema. 1
6Ingawa niko sawa, 2 ninaonekana mwongo; 1 nami ingawa sina kosa, 2 kidonda changu hakiponi.’ 1
Cross References
Job 9:17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba 2 na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 1
Job 11:4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili 2 nami ni safi mbele zako.’ 1
Job 19:7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; 2 ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 1
Job 29:14Niliivaa haki kama vazi langu; 2 uadilifu ulikuwa joho langu na kilemba changu. 1
Job 33:9‘Mimi ni safi na sina dhambi; 2 mimi ni safi na sina hatia. 1