Ayubu 33:32
Kama unalo lolote la kusema, unijibu; 2 sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thou hast any thing to say, answer me: speak, for I desire to justify thee.
In Context
31“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; 2 nyamaza, nami nitanena. 1
33Lakini kama huna la kusema, basi nisikilize mimi; 2 nyamaza, nami nitakufundisha hekima.”
Cross References
Job 21:27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, 2 mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 1
Job 27:5Sitakubaliana nanyi kabisa kuwa mko sahihi; 2 hadi nife, sitakana uadilifu wangu. 1