Ayubu 33:31
“Ayubu, zingatia, nisikilize mimi; 2 nyamaza, nami nitanena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Mark well, O Job, hearken unto me: hold thy peace, and I will speak.
In Context
30ili aigeuze nafsi yake toka shimoni, 2 ili nuru ya uzima imwangazie. 1
32Kama unalo lolote la kusema, unijibu; 2 sema, kwa maana ninataka uonekane huna hatia. 1
Cross References
Job 18:2“Je, ni lini utafika mwisho wa maneno haya? 2 Uwe mwenye busara, nasi ndipo tutakapoweza kuongea. 1
Job 32:11Nilingojea mlipokuwa mnaongea, 2 nilizisikiliza hoja zenu; 1 mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema, 2