The Bible Software
bible.softwareJobJob 33 › Job 33:7

Job 33:7

Huna sababu ya kuniogopa, 2 wala mkono wangu haupaswi kukulemea. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, my terror shall not make thee afraid, neither shall my hand be heavy upon thee.

In Context

6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; 2 mimi pia nimetolewa kwenye udongo. 1

8“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, 2 nami nilisikia maneno yenyewe: 1

Read all of Job 33

Cross References

Job 9:32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, 2 ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani. 1

Job 13:21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1

Psalms 88:16Ghadhabu yako imepita juu yangu; 2 hofu zako zimeniangamiza. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 33:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 33:6Job 33Job 33:8 →