Job 13:21
Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Withdraw thine hand far from me: and let not thy dread make me afraid.
In Context
20“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, 2 nami sitajificha uso wako: 1
22Niite kwenye shauri nami nitajibu, 2 au niache niseme, nawe upate kujibu. 1
Cross References
Job 9:34mtu angeliiondoa fimbo ya Mungu juu yangu, 2 ili utisho wake usiendelee kunitia hofu. 1
Job 13:11Je, huo ukuu wake haungewatisha ninyi? 2 Je, hofu yake isingewaangukia ninyi? 1
Job 33:7Huna sababu ya kuniogopa, 2 wala mkono wangu haupaswi kukulemea. 1
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1