Ayubu 34:12
Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Mungu angefanya makosa, 2 kwamba Mwenyezi angepotosha hukumu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, surely God will not do wickedly, neither will the Almighty pervert judgment.
In Context
13Je, ni nani aliyemtawaza juu ya dunia? 2 Ni nani aliyemweka kuwa mwangalizi wa ulimwengu wote? 1
Cross References
Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
Psalms 11:7Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki, 2 yeye hupenda haki. 2 Wanyofu watauona uso wake.
Habakkuk 1:12Ee Bwana, je, wewe sio wa tangu milele? 2 Mungu wangu, Uliye Mtakatifu wangu, hatutakufa. 1 Ee Bwana, umewachagua wao ili watekeleze hukumu; 2 Ee Mwamba, umewaamuru watuadhibu. 1